Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Na sisi ambao tuna mitungi iliyojaa togwa tunaruhusiwa kuweka hapa.
 
Umenikumbusha uzi mmoja ukiwahi kuletwa humu kuwa ukikuta ndizi na tango kwenye friji ya mwanamke ambae hajaolewa chonde chonde usitumie..
Hahaha we jamaa wewe...kwa nini nimechelewa kuipata hii taadhali..dah!
 
Vitu karibia vyote vipo kwenye ijazo wa juu kabisa ilikuwa ni maalum kwa ajiri ya picha au coincidence.
 
Vitu karibia vyote vipo kwenye ijazo wa juu kabisa ilikuwa ni maalum kwa ajiri ya picha au coincidence.

Ni wazi kabisa Ilikuwa kwa ajili ya picha.

Karibu kwenye uzi mkuu.
 
Ngoja umeme ukatikemo kama wiki hivi.. iyo ndio sababu sipendi kuweka vitu vingi kwa frij
 
Mafriji wabongo wanajaza maji tu kama wameambiwa fridge ni kwa ajili ya kujaza maji ndio maana hata picha hamuweki.😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…