Imeshafika cx-30Mkifika CX -9 mnishtue
Imeshafika cx-30
Habari wadau. Naomba kufahamu zaidi kuhusu hii gari kwa maana sijaona nyuzi nzuri za kuielezea kwa undani.
Je, huwa zinachangamoto gani kimatumizi?
Naiskia huwa inaleta shida katika mfumo wake wa DFP kwa hizi zinazotumia mafuta ya diesel. Je suluhisho lake ni lipi?
Nasikia zipo vema eneo la mafuta consumption both za petroleum na za Diesel.
Hebu nipeni madini. View attachment 2980144View attachment 2980147View attachment 2980149
Shukrani mkuu umenipa mwanga. Nasikia za South Africa haina DPF system so hazina hayo mapichapicha ya DPF.Imeelezwa kwenye nyuzi kadhaa ila kwa vipande vipande
Faida/Pros
Zina tech ya kisasa ukilinganisha na bei yake na bei ya gari nyingine za class yake.
Zina chasis na body zenye weight ndogo hivyo inasaidia pia hata fuel economy na handling (zinasifiwa kwa handling na uendeshaji)
Zina engine zenye nguvu (hasa ya diesel) na consumption nzuri ya mafuta (sky active technology).
Cons
Engine za diesel huku kwetu zinasumbua kwa sababi ya quality diesel. Hili umetaja la DPF ni topic inaweza kujitegemea ila kwa kifupi tu nashauri utoe kabisa (wanaita DPF delete), physical na software. Ukiiacha sana inaweza kuleta issue kwenye cylinder head na turbo.
Mfumo wa maji, badili coolant bypass au junction toka ya plastic weka ya metal.
Usipofanya service kwa wakati na oil sahihi, hasa engine ya diesel utapata changamoto.
BOTTOM LINE
Gari nzuri ukizingatia hayo. Engine ya petrol ni reliable zaidi kama unaweza kuipata. Zingatia pia kuwa kuna engine za cc2000 na 2500 petrol (hii consumption iko juu kidogo kuliko ya cc2000 petrol na 2200 diesel.
Engine ya diesel 2200cc ni bora zaidi kwa power na consumption.
Exactly my pointHizi coding haziendi hivyo mkuu. CX 7 ilishakuwepo kabla ya CX 5. Nadhani hata jamaa amesema ikifikiwa cx9 kwenye mjadala siyo kutolewa
CX 9 sidhani kama itakuja kuliteka soko la bongo kama ilivyo kwa CX 5. Wabongo wengi nadhani wako zaidi kwenye compact SUVs hasa zenye engine ndogo cc 2000 mpaka 2500 kwa sababu ya mafuta. Sasa CX 9 ina cc 3800 ni wachache watakaoimudu. Na kama hazijajaa barabarani hata kuzungumziwa inakua ngumu.Exactly my point
Pia nimeipenda cx 9 imekaa kibabe zaidi na watu hawaizungumzii kabisa
Hivi ina option ya diesel? [emoji848]CX 9 sidhani kama itakuja kuliteka soko la bongo kama ilivyo kwa CX 5. Wabongo wengi nadhani wako zaidi kwenye compact SUVs hasa zenye engine ndogo cc 2000 mpaka 2500 kwa sababu ya mafuta. Sasa CX 9 ina cc 3800 ni wachache watakaoimudu. Na kama hazijajaa barabarani hata kuzungumziwa inakua ngumu.
CX 9 sidhani kama itakuja kuliteka soko la bongo kama ilivyo kwa CX 5. Wabongo wengi nadhani wako zaidi kwenye compact SUVs hasa zenye engine ndogo cc 2000 mpaka 2500 kwa sababu ya mafuta. Sasa CX 9 ina cc 3800 ni wachache watakaoimudu. Na kama hazijajaa barabarani hata kuzungumziwa inakua ngumu.