Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcb

Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi media

Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana elimu ndio maana anaitwa mr ndio

Lavalava msanii ambaye hana mafanikio ndani ya WCB kwani anaenda ist ambayo ni uber dereva akiwa yeye mwenyewe m

Mbosso msanii ambaye ana nyimbo 10 ndani ya miez 6 ila zote hazijavuma akiwa na Raymond mwanamuziki ambaye kundini wa tofauti kabaki peke yake baada ya Mavoko kutoka

Diwani Fella aka mzee wa kubeba mikoba akiwa meneja mjanja mjanja Salam aliyeshinikiza Kifesi na Mavoko kufukuzwa

Zamaradi Mketema meneja vipindi na uzalishaji Wasafi media

Queen Darlin first lady wa WCB huyu muziki alishaisha ila kawekwa tu mradi apate ugali maana ni ndugu na Diamondi huyu ndio alimkutanisha Mondi na Bob Junior na watanashati

Romy Jones ndugu mpambe wa Diamondi kazi yake ni kuuza sura tu

Harmonize kipenzi cha Mondi, huyu ana hisa pia Wasafi media anapendwa sababu ya uwezeshaji aliompa Mondi toka Mtwara mpaka nyota kuzidi kuwa nyeupe ndio maana mondi akaamua kwenda kulee kwao kutoa zawadi ya kujenga nyumba ya ibada

Mavazi yao yanazungumza wao ni watu wa aina gani
 

ruge hayupo?
 
mimi babu tale simwelewagi WCB kaingiaje na anafanya role gani, na why kaisusa tip top?
Hana la maana pale zamani alikuwa anahusika na promo za ndani ya nchi ila siku hizi wanajitangaza wenyewe
Sasahivi amebakia tu mr ndio bora bora anapata senti ila hata aondoke leo hana sumu japo kila baada ya miezi 2 huenda moro kuchinja mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…