Hebu tuwekane sawa katika hili

Hebu tuwekane sawa katika hili

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
184
Kumekuwepo na mijadala mbalimbali katika jf juu ya chuo gani ni bora zaidi ya kingine mi nataka kuuliza katika ajira je kitu kinachoangaliwa ni umesoma chuo gani au umefauluje?
 
waajiri wengi wamesoma UD au SUA. Na wengi wao wanajua kuwa vyuo vikuu Tz bado vipo viwili tu: SUA na UD
 
Kumekuwepo na mijadala mbalimbali katika jf juu ya chuo gani ni bora zaidi ya kingine mi nataka kuuliza katika ajira je kitu kinachoangaliwa ni umesoma chuo gani au umefauluje? Kwa sababu huwezi kuniambia kilaza wa UD apewe kazi kwa sababu 2 amesoma hapo na mtu wa TEKU aliyefaulu vizuri anyimwe kwa kigezo cha chuo so maGT acheni masifa ya kijinga cha muhimu mkienda chuoni mkaze msuli kwani unavyojisifia na UD au SUA ni vya baba yako???

Mkuu huko nilipobold panaonyesha jinsi gani usivyo GT,lugha uliyotumia imekaa kiuni zaidi na isitoshe kuna thread ilishaanzishwa kuhusiana na utata huu,ungeenda kubishana nao huko. Mimi mwenyewe sijapangwa UD,lakini siwezi kubishana kwa mambo kama haya,ntaenda kusoma kwa bidii huko nilipopangwa.
 
u can feel the actions of those who missed their first sellection at udsm and sua.aaahh
 
Ubora wa chuo ni wewe mwenyewe na issue ya kuajiriwa ni namna unavojipanga period!
 
Back
Top Bottom