Kumekuwepo na mijadala mbalimbali katika jf juu ya chuo gani ni bora zaidi ya kingine mi nataka kuuliza katika ajira je kitu kinachoangaliwa ni umesoma chuo gani au umefauluje? Kwa sababu huwezi kuniambia kilaza wa UD apewe kazi kwa sababu 2 amesoma hapo na mtu wa TEKU aliyefaulu vizuri anyimwe kwa kigezo cha chuo so maGT acheni masifa ya kijinga cha muhimu mkienda chuoni mkaze msuli kwani unavyojisifia na UD au SUA ni vya baba yako???