mi siangaliii kidato kwa kweli, napenda mwanaume msafi na anayemthamini mwanamke(that is enough for me), ikitokea anangawira poa, asipokuwa nazo pia poa coz im so independent.sijali kama ana uume mkubwa au mdogo as long as will love each other(true love and faithful).
Sasa hapo unawasemea. Kwa mtazamo wangu yote inategemea ikiwa mwanamke anafuata madarasa na kipato badala ya mapenzi, kwani mapenzi/maelewano hayategemei darasa wala kipato. Mwanamume anaweza kuwa msomi (wa vitabu) na mwenye kipato kikubwa lakini akakosa sifa za kuwa mpenzi bora.Kwa wadada wetu inawezekana kinadharia zaidi, sio kivitendo
Sasa hapo unawasemea. Kwa mtazamo wangu yote inategemea ikiwa mwanamke anafuata madarasa na kipato badala ya mapenzi, kwani mapenzi/maelewano hayategemei darasa wala kipato. Mwanamume anaweza kuwa msomi (wa vitabu) na mwenye kipato kikubwa lakini akakosa sifa za kuwa mpenzi bora.
penye true love mi naoana hatuangalii hivyo vigezo na ndomaana watu wengi wana good life lakini they are not happy... kwangu mimi mapenzi ya kweli ndio first no matter wht..Hivi jamani, elimu sio kigezo cha kuangalia unapotaka kuingia kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa).
Mdada unaweza kuolewa na mwanaume ambae hajaenda shule kabisa au ameishia shule ya msingi?
supporting u 100%mi siangaliii kidato kwa kweli, napenda mwanaume msafi na anayemthamini mwanamke(that is enough for me), ikitokea anangawira poa, asipokuwa nazo pia poa coz im so independent.sijali kama ana uume mkubwa au mdogo as long as will love each other(true love and faithful).