Hebu tuzungumzie kidogo ishu ya Vanessa Mdee..

I guessed this n predicted u ll clarrify it, to what extent do you really believe these things?

Do u mean all successful artists have been signed there and working for the Princess of the world?

Why don't u put ua trust that hardworking is the secret for their performances and success?
 
No need to prove anything..time heals.. time will tell
 
Africa bhana...

We have WCB..
 
Hii colonial mentorship sijui itaisha lini..!?​
 
Labda wa kwanza wa kike...au domo alitudanganya
 
Tatizo wabongo fix nyingi...huo mkataba uko wapi? Nimechoka na blah blah!
 
Wanajichosha tu.. unatengeneza nyimbo inahit mtwara alafu unaenda kusainiwa na lebo inayofanya shughuli zake marekani ni wehu first class... alafu mie kiukweli huwa sielewi ni nini hawa wasanii wa bongo wanakimbilia marekani mbona africa kuna watu wengi na kuna hela mingi?? Kuna zaidi ya watu billion kazaa unakimbilia marekani kwenye watu m300?? Ni wehu..
 
Ni mentality tu. Wamelazimishwa kuona huko ndio bora.. Yaani kuna watu hawajui kwamba Soko la Afrika ni kubwa kuliko la Amerika..
 
Hiyo ya kusema yeye ndio msanii wa kwanza kusign na hiyo lebo pengine kwakuwa hana taarifa za wengine na hawakumwambia kabisa.
Kimsingi hawezi kuwa wa kwanza wala wa tatu kusign....
Labda si yeye aliye andika hayo kwa mbwembwe sana kwa sababu ya kufurahia ahadi.
Wanasema kuwa maneno yanayo semwa na mtu akiwa na hasira sana au na furaha sana siyo ya kutilia sana maanani kwakuwa asilimia 80% hayana uhalisia au hayatekelezeki kabisa na huwa yana shangaza sana.....
Hivyo Vannesa alikuwa na furaha sana hadi akajikuta anasema vitu vya uongo uongo.
Nimemsamehe Vannesa
 

Music industry imehamia kwenye figital platforms, kazi kubwa ya hizi label ni kuuongeza thamani ya music product yako na kuziuza online then mtagawana mkate, waafrica hawana utamaduni wa kununua online. Ndio maana kuna Sony Africa na Universal Africa. Sio lazima u sign world wide. Pili ni connection, Usione Mtv, Trace na media kubwa za ulaya zinacheza nyimbo ya diamond ukajua walipigiwa simu na babu tale. Univetsal ndio walifanya hata ngoma ya D na neyo ikawa posted kwenye blog ya 50cent. So ts all about target.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…