Hebu wanawake acheni huu upuuzi

Hebu wanawake acheni huu upuuzi

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na
Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto
wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari
kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na
akili za ubuyu unaona hilo ni zali......

Zali ni kwa mentali tu, huo ni upuuzi, na kama unadhani huyo
Mwanaume anakupenda umeula wa chuya.

Kama Mwanamke mwenzio kajitahidi kukata viuno
miaka yote na kapewa na pete, amegeuzwa kuwa
Incubator ya kutotoa watoto na kaachwa...
Wewe
utafanya muujiza gani usiachwe siku moja ukishatotoa pia??
 
Aisee kumbe na wewe "Ulitotolewa" safi sana
 
Wanatafuta ukichaa wa kurogwa ao. . .
Wanawake wengine hawachukuliwi waume kiboya boya tu

They'll have to pay asee!
 
Eti unasema Watapata ukichaa???
Daah joanah Ujue Mungu anakuona
 
Kuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na
Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto
wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari
kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na
akili za ubuyu unaona hilo ni zali......

Zali ni kwa mentali tu, huo ni upuuzi, na kama unadhani huyo
Mwanaume anakupenda umeula wa chuya.

Kama Mwanamke mwenzio kajitahidi kukata viuno
miaka yote na kapewa na pete, amegeuzwa kuwa
Incubator ya kutotoa watoto na kaachwa...
Wewe
utafanya muujiza gani usiachwe siku moja ukishatotoa pia??
Nakuomba usi generalize. ...unavyo wasema wanawake na kuwadharau kiasi hicho ni LAANA KUBWA SANA!
 
Sio wote, sema kama inakuhusu utajijua tu
 
Miss Natafuta, najua wewe ni mwanaume Mwenzetu, badilika kidogo wacha mambo zako za kujidai eti wewe ni Mke . Otherwise tutangazie kuwa wewe ni chockstick, unaliwa
 
Sio wote, sema kama inakuhusu utajijua tu
Trust me hainihusu kabisa, ninachostaajabu ni hiyo huge amount of consuming anger and range ambayo iko ndani yako. ...mbona huna amani kabisa STUNTER?
 
Hahaha
mi nmesema tu wanawake wengine hawaibiwi kizembe, kuna action wanachukua
Ata sijawashauri wafanye ivo
Anhaa, nilidhani ndio mtindo wako huo
 
Back
Top Bottom