Aisee kumbe na wewe "Ulitotolewa" safi sanaKuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na
Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto
wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari
kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na
akili za ubuyu unaona hilo ni zali......
Zali ni kwa mentali tu, huo ni upuuzi, na kama unadhani huyo
Mwanaume anakupenda umeula wa chuya.
Kama Mwanamke mwenzio kajitahidi kukata viuno
miaka yote na kapewa na pete, amegeuzwa kuwa
Incubator ya kutotoa watoto na kaachwa...
Wewe
utafanya muujiza gani usiachwe siku moja ukishatotoa pia??
We koma kabisa mie "nilizaliwa" na "Sikutotolewa" kama weweWewe je? ulitagwa?
Nakuomba usi generalize. ...unavyo wasema wanawake na kuwadharau kiasi hicho ni LAANA KUBWA SANA!Kuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na
Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto
wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari
kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na
akili za ubuyu unaona hilo ni zali......
Zali ni kwa mentali tu, huo ni upuuzi, na kama unadhani huyo
Mwanaume anakupenda umeula wa chuya.
Kama Mwanamke mwenzio kajitahidi kukata viuno
miaka yote na kapewa na pete, amegeuzwa kuwa
Incubator ya kutotoa watoto na kaachwa...
Wewe
utafanya muujiza gani usiachwe siku moja ukishatotoa pia??
Ndio maana mie nikamwambia "Ametotolewa"Nakuomba usi generalize. ...unavyo wasema wanawake na kuwadharau kiasi hicho ni LAANA KUBWA SANA!
HahahaNawewe je unaewashauri wawatie vichaa wenzao?
Una uhakika mkuu naskia Mara ya kwanza toka kwakoMiss Natafuta, najua wewe ni mwanaume Mwenzetu, badilika kidogo wacha mambo zako za kujidai eti wewe ni Mke . Otherwise tutangazie kuwa wewe ni chockstick, unaliwa
Trust me hainihusu kabisa, ninachostaajabu ni hiyo huge amount of consuming anger and range ambayo iko ndani yako. ...mbona huna amani kabisa STUNTER?Sio wote, sema kama inakuhusu utajijua tu
Inasikitisha Wallahi. ....Ndio maana mie nikamwambia "Ametotolewa"