Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Msajiri ni sehemu ya Mgogoro!Kwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua CHADEMA
100%Msajiri ni sehemu ya Mgogoro!
Umewaza mbali sana na ndio mbinu za ccm na msajili kada wanatafuta pa kupitia.Naoba baada ya Msimamo wa Mnyika kutosaini sheria feki za Uchaguzi anatafutwa mtu wa kusaini.
Naona pressure inazidi kupanda ya kushinikizwa CDM iluhusiwe kushiriki uchaguzi.
Hakuna kitu kama hicho no Reforms No Elections inawapasua kichwaKwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua CHADEMA
Aiseee kumbe tatizo ni Lissu na siyo CHADEMAMakamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na wananchi wa Magumu - Serengeti leo Mei 13 kuhusu suala la Msajili wa vyama vya siasa kutotambua uwepo wa cheo cha John Mnyika katibu Mkuu wa chama hicho.
Pia, Soma: Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu
"Msajili wa Vyama hamesema hamtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu, hatambui Wajumbe wa Kamati Kuu wa Chama chetu, mimi nakuambia Msajili, wewe huitaji kumtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu sisi CHADEMA tutamtambua Katibu Mkuu wa Chama chetu."
View attachment 3332824
Sio wao kwa wao, ni mapandikizi ya ccm, mijitu milafi imehongwa kuvuruga chamaKwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua CHADEMA
Mgogoro upi??.Kwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua CHADEMA
Kwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua CHADEMA
Ndomana hakuna aliyekupa like sababu ya ubongo wako mdogo km pilitonKwa namna hali ilivo CHADEMA wao kwa wao wana mgogoro na ndo maana hata CCM na serikali yake inatumia mwanya huo kuisumbua