Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Odemba aweke Full Interview kwenye Youtube Channel hii ya Leo wamemkatisha katisha sana kwahiyo hajatolea maelezo ya kina ila ni kweli kapangua maswali yote ya Odemba.Mhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
Nimemsikia ni aina ya mbunge tusietakiwa kumpoteza bunge lijaloMhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
Hili swala liko Takukuru tujipe muda tupunguze papara!
Amedhirisha madai kuwa viongozi wa CHADEMA hawathamini na kuheshimu Jatiba yao, sembuse ya JMT. Amethibitisha pia kuwa mamuzi ya CHADEMA ni ya Mbowe, hivyo tyhuma dhidi yake zina ukweli.Mhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
WAFUKUZWE BUNGENI ETI? Wewe kweli ni nzi wakijani halisi. Hivi akili zenu nyie watu huwa mnaziweka wapi mnapokuwa mnatoa mapendekezo yakijinga namna hii?Amedhirisha madai kuwa viongozi wa CHADEMA hawathamini na kuheshimu Jatiba yao, sembuse ya JMT. Amethibitisha pia kuwa mamuzi ya CHADEMA ni ya Mbowe, hivyo tyhuma dhidi yake zina ukweli.
Sentensi moja tu inathibitisha hoja yangu pale alipokiri kuwa moja ya msingi wa Demokrasia ni kukubali maamuzi ya wengi (collective respinsibility). Ati ni kwa sababu hiyo hao Wabunge wamefukuzwa kwa kukiuka maamuzi ya wengi.
Vitendo vya kususia Bunge, kwa nyakati mbalimbali, ikiwa ni moja ya kufunga midomo huku wakisusia kikao cha bunge, kwa hoja yake ya "collective respobsibility" walipaswa na wao kufukuzwa bungeni moja kwa moja.
wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteNaona huko CCM kunawaka moto wa kimyakimya siku hizi hadi mwanaharakati huru anapigwa na Polisi! duh
Tupe kidogo tafadhaliMhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
Uliwahi kutoa hoja kwa kutumia akili au hii ndio style yako ya kutumia moyo kutoa mawazo yako?Amedhirisha madai kuwa viongozi wa CHADEMA hawathamini na kuheshimu Jatiba yao, sembuse ya JMT. Amethibitisha pia kuwa mamuzi ya CHADEMA ni ya Mbowe, hivyo tyhuma dhidi yake zina ukweli.
Sentensi moja tu inathibitisha hoja yangu pale alipokiri kuwa moja ya msingi wa Demokrasia ni kukubali maamuzi ya wengi (collective respinsibility). Ati ni kwa sababu hiyo hao Wabunge wamefukuzwa kwa kukiuka maamuzi ya wengi.
Vitendo vya kususia Bunge, kwa nyakati mbalimbali, ikiwa ni moja ya kufunga midomo huku wakisusia kikao cha bunge, kwa hoja yake ya "collective respobsibility" walipaswa na wao kufukuzwa bungeni moja kwa moja.
Huyu Mshkaji ndio anatakiwa aje kuwa Mwenyekiti. Ila umri usogee kidogo maana anaweza kuwatwanga Mangumi Mas itchMhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
Unachanganya mambo!Amedhirisha madai kuwa viongozi wa CHADEMA hawathamini na kuheshimu Jatiba yao, sembuse ya JMT. Amethibitisha pia kuwa mamuzi ya CHADEMA ni ya Mbowe, hivyo tyhuma dhidi yake zina ukweli.
Sentensi moja tu inathibitisha hoja yangu pale alipokiri kuwa moja ya msingi wa Demokrasia ni kukubali maamuzi ya wengi (collective respinsibility). Ati ni kwa sababu hiyo hao Wabunge wamefukuzwa kwa kukiuka maamuzi ya wengi.
Vitendo vya kususia Bunge, kwa nyakati mbalimbali, ikiwa ni moja ya kufunga midomo huku wakisusia kikao cha bunge, kwa hoja yake ya "collective respobsibility" walipaswa na wao kufukuzwa bungeni moja kwa moja.
Sina uhakika unachoamini ni nini ila maandiko yako yanathibitisha kwamba "hujui kama hujui". Kwa mfano, Heche wenu anadai pesa zinazojenga " vitu" ni za walipa kodi, hivyo CCM haipaswi kujivuna. Je, huoni kuwa Serikali ya CCM ina viongozi waadilifu wanaosimamia matumizi mazuri ya fedha ya walipa kodi tofauti na viongozi wenzake CHADEMA?Uliwahi kutoa hoja kwa kutumia akili au hii ndio style yako ya kutumia moyo kutoa mawazo yako?