TuliaWana pesa za kupoteza. Chuo cha nini wakati kuna vyuo kibao vinavyotoa elimu nchini. Wasiwaige CCM ambao walianzisha chuo chao walipokuwa chama pekee cha siasa nchini.
Amandla...
1. HAPANA. Kuanzisha taasisi (chuo) ku - train watu wenu sio kupoteza pesa bali ni uwekezaji mzuri wenye faida kubwa. Hili ni wazo na ni mpango zuri sanaWana pesa za kupoteza. Chuo cha nini wakati kuna vyuo kibao vinavyotoa elimu nchini. Wasiwaige CCM ambao walianzisha chuo chao walipokuwa chama pekee cha siasa nchini.
Amandla...
Utampeleka mtoto wako akasomee uadilifu, uchumi n.k. katika Chuo cha Chadema? Chuo ambacho kwa hali ilivyo sasa hakitapa accreditation? Walimu watawatoa wapi? Au walimu na wanafunzi watatoka Chadema? Ukiondoa katika nchi za kikomunisti sijawahi kusikia chama cha siasa chenye chuo chake.Tulia
Watu wenye Mawazo na maono chanya"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA.
Kwa hakika1. HAPANA. Kuanzisha taasisi (chuo) ku - train watu wenu sio kupoteza pesa bali ni uwekezaji mzuri wenye faida kubwa. Hili ni wazo na ni mpango zuri sana
2. It's true zipo taasisi nyingi tu za umma na binafsi zinazotoa kozi mbalimbali za masuala uongozi na utawala wa kisiasa (political administration) ktk ujumla wake. Lakini hii ni kwa ajili ya CHADEMA specific kwa kufundisha itikadi, sera na uongozi kwa ktk mtindo wa ki-CHADEMA..
3. Kushindwa kwa CCM kuendesha vyuo vyao kunachangiwa na mambo mengi mno. Kumbuka kuwa, as for now hiki sio chama cha siasa anymore. Hiki ni kikundi cha wahuni waliokusanyana na kujishikiza ktk mgongo wa serikali. Haijulikani itikadi yao kama chama ni nini..!
4. Kwa hiyo, binafsi nawaunga mkono CHADEMA. Ni wazo jema..
Hii imekaa safi kabisa, inaweza kuboreshwa kidogoEDWIN MTEI - CHADEMA ETHICS, POLICIES & LEADERSHIP MEMORIAL COLLEGE]
" Politics, ethics and development college" PEDC universityEDWIN MTEI - CHADEMA ETHICS, POLICIES & LEADERSHIP MEMORIAL COLLEGE]
Wameona vyuo vilivyopo vinatuletea wasomi majambazi...Wana pesa za kupoteza. Chuo cha nini wakati kuna vyuo kibao vinavyotoa elimu nchini. Wasiwaige CCM ambao walianzisha chuo chao walipokuwa chama pekee cha siasa nchini.
Amandla...
Get reach?Wameona vyuo vilivyopo vinatuletea wasomi majambazi...
wasomi wa Get reach soon....bila hata kufanya kazi na ndio sababu; rushwa, betting nk vimekidhiri
Wazo zuri sana. Ni suala la muda tu ila ipo siku CHADEMA watachukua uongozi wa nchi."Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga rushwa, uchumi, mambo yale [marehemu Edwin Mtei] aliyotaka kuyaona yanatokea." - John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA.