Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hii ni zaidi ya chuki za kisiasa...kuna vita kubwa zaidi.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.
View attachment 3317647
Halafu wanataka wananchi wawapendeSasa watawala wanataka nini? Mmemfunga mtu hamtaki watu wamuone kesi yake hamtaki watu wahudhurie
Ngoja akina Lucas waendelee kula udhalimu wao.Halafu wanataka wananchi wawapende
Wanataka kufa bure.Wajinga wameshika kwenye mpini.
Chadema nguvu moja songeni mbele mtashinda ktk hiliMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.
"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
Ahahahahaha!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.
"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
ccm wapuuzi saana 👿 ipo siku watalipia tuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.
"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
Mtakula mlipopeleka mboga!Ahahahahaha!
Watanzania sasa hivi tupo bize tunasherehekea Simba kuingia fainali KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA!
Ya Lissu tuambie kesho bwana!
Mkuu wa magerezà afunguliwe kesiMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.
"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
Una UTI sugu wewehuyu heche tangu lissu ahamishiwe ukonga ameweka kambi ukonga anakusanya magenge ya vijana isijekuwa anasoma jiografia ya ukonga amtoroshe lissu, vyombo vya usalama hebu kuweni chonjo na huyu mtu, mnakumbuka movie ya escaoe from sobibo?