Wakati mwingine tuwe serious, kitakufaje wakati CCM wanaogopa kama nini ndo maana wanatumia hila mbaya za kila aina ili kufifisha nguvu zake lakini hawawezi.CHADEMA kufa chini ya Lisu na Heche hakuhitaji nabii kusema kitakufa ni kitu cha uhakika
Hawajui siasa kitakufa.Waona mbali ndio maana wanatimka
Pressure groupNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Ndo ukweli wenyewe, msajili anaona tu ya chadema ila ccm haoni.John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
Ubaya ubwela?Dawa ya jeuri ni kiburi. Mwenyekiti yupo jela lakini ni kama yupo jukwaani tu
Kwa gharama za nani????Itisheni baraza kuu acheni kutishia nyau
kasura kako kazuri sana ,hakaendani na mawazo yako au ni mtoto huyu vipi asemavyo nabii lemaNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Yohana na wewe huwa unavutaga bangi kumbe? Kwa hiyo msajili wenu wa CCM yuko sawa?Heche analazimisha kukamatwa sasa
Mwanamke kawazidi akili na mipini yenu kachukua fomu pekee yake hakuna aliyesimama halafu unahoji nini.stress ni kitu mbaya sana aise,
kuropoka kilofa namna hii ndio kunasababisha kila moja anakimbia.
eti huo uropokaji wa huyo kibaka lofa ndio msimamo wa chadema nchi nzima
Calm down gentleman, uspanic,Mwanamke kawazidi akili na mipini yenu kachukua fomu pekee yake hakuna aliyesimama halafu unahoji nini.
wapo ungemuuliza CCM mbona msajili wa vyama hakuiingilia CCM kuwa samia tokea mwaka jana na juzi kuwa yeye ni mwenyekiti.HIv mafala kumbe bado wapo??
Waliteuliwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti, makamu mwenyekiti na sekretarieti ya CDM, atuambie nani hakuwepo wakati ule wa uchaguzi, muache chokochoko CDM ya Lissu na Heche imewashika vibaya.Mkutano mkuu wa CCM ndio kikao kikuu cha maamuzi yeyote akidi ilitimia baraza kuu fanya maamuzi hicho chenu cha baraza kuu kilikuwa halali kabisa ila akidi ya kuwapitisha hao wajumbe wenu haikutimia.
Itisheni baraza kuu akidi itimie kisha pitisheni wawe hao hao au wengine wapya hayo ya kwenu
Ukimaliza kuvuta bangi ndipo ujifute wewe kwanzaNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Achana nae mvuta bangi huyoKwahiyo na CCM yetu isajiliwe kama kukundi cha mjahidini?
Msajiliccm sasa eti kawa chawaccmIle kesi dhidi ya uteuzi huko CCM maamuzi ya msajili ni lini?
Acha upumbavu wewe. Kama huna hoja usiwe kioja.Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki