Wewe mpumbavu hakuna CHADEMA mpumbavu kama weweUkweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
Msajiliccm sasa na yeye ni chawaccm kama PolisiccmHuyo msajili asijipendekeze, Chadema wangetaka amtambue Mnyika wangempelekea kumtambulisha ....ila hayamhusu
ccm bila Polisiccm bila Msajiliccm bila mahakamaccm bila Tumeccm ni weupe sanaWewe mpumbavu hakuna CHADEMA mpumbavu kama wewe
Mbona Bi Kidude dikteta wa kwanza mwanamke Afrika alivunja katiba ya CCM akajiteua kugombea urais msajili akakaa kimya, na wanachama waliodiriki kusema wakapigwa mkwara?Hii nchi wajinga mpo wengi sana , yaan msajili ana haki gan ya kuchagua viongoz wa Chama ? Hv ni swala la kusema mtu akigoma inabid ashikwe
Hii nchi bora Burundi ina watu wanajitambua ila sio Tz
Mimi binafsi nashangaa kwanini viongozi wa Ofisi ya Msajili vya Siasa ni wapole kiasi hicho. Mimi ningelikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa ningelikuwa nimeishakifutilia mbali Chadema! Leo hii Chadema isingelikuwa inaongea No Reform, No Election bali ingelikuwa inabembeleza kuendelea kuwa kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa!John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
Mtoeni ukonga mwenyekiti aje aongoze Baraza kuua pumbavu nyieT
Tatizo lenu huwa hampendi kusikiliza kutoka kwenye chanzo cha kwanza. Mnabeba maneno ya Heche as if hamna vichwa. Tafuta taarifa ya msajili uiosome kwa lengo la kuelewa(sio kumaliza mistari).
Sio wajibu, ni majukumu. Now you know. Uwache uzembe.
Msajiliccm hafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali anafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccmMbona Bi Kidude dikteta wa kwanza mwanamke Afrika alivunja katiba ya CCM akajiteua kugombea urais msajili akakaa kimya, na wanachama waliodiriki kusema wakapigwa mkwara?
Hii akili ni pure kutoka masjid 😁😁😁😁Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Kwa Akili zako finyu ndiyo maana hujawa Msajili kwani mwevu mvuta bangi kama wewe ungefanya maamuzi haramu ya kishetani na kuwagharimu ccm watesi wenzako, mungu siyo mjinga ndiyo maana hujapewa cheo hicho kakuacha uwe unavuta bangi na kuwaza ushetani huko ghetoMimi binafsi nashangaa kwanini viongozi wa Ofisi ya Msajili vya Siasa ni wapole kiasi hicho. Mimi ningelikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa ningelikuwa nimeishakifutilia mbali Chadema! Leo hii Chadema isingelikuwa inaongea No Reform, No Election bali ingelikuwa inabembeleza kuendelea kuwa kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa!
ccm bila Polisiccm bila Tumeccm wachakachuaji bila watesi wake ni weupe sanaIlipofikia risasi ya viongozi wa Chadema imebaki moja tu, wafuasi, wanawahitaji mno, wafuasi wakisaliti 2025 watafeli vibaya mno.
Amekulazimisha?Heche analazimisha kukamatwa sasa
Kikifa si ndio shangwe kwa nzi wa kijani, hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Chama kinakufa kwenye mikutano mnataka kumkamata makamu mwenyekiti, Katibu mkuu mnamkamata, mwenyekiti asiye na impact mnamtungia kesi. Tumia akili hata ya kuazima, msihangaike na chama kinachojifia kama cha ubwabwa au TLPCHADEMA kufa chini ya Lisu na Heche hakuhitaji nabii kusema kitakufa ni kitu cha uhakika
Hawajui siasa kitakufa.Waona mbali ndio maana wanatimka
Ununuzi wa G55 Dalali Mbowe kajulikana na watanzania walipa kodi hawataki pesa zao kutumika kuwanunua wasariti huku huduma za jamii zilizidi kudorola kwa kukosa pesaSafari Hii Mbeleko Za CCM Zote Zinachanika Tena Hadharani
Watetezi wa ccm mitandaoni hawana hoja ndiyo maana huku mitandaoni hupigwa 3-0Kikifa si ndio shangwe kwa nzi wa kijani, hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Chama kinakufa kwenye mikutano mnataka kumkamata makamu mwenyekiti, Katibu mkuu mnamkamata, mwenyekiti asiye na impact mnamtungia kesi. Tumia akili hata ya kuazima, msihangaike na chama kinachojifia kama cha ubwabwa au TLP
John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945