peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Wajibu wa msajili wa vyama ni kuakikisha vyama vya upinzani havikui na ndio maana kikatiba anateuliwa na raisi m/kiti wa CCMKwamba katiba anachaguliwa na msajili wa vyama , hv unajuwa wajibu wa msajili wa chama ?
Watu wenye misimamo kama heche wanahitajika san kweny hili taifa lililojaa machawa na walamba nyayo za viongoz!!John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
Mumeo awe MwenyekitiNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Dola muda wote inapambana na CHADEMA badala ya kupambana na umasikiniWajibu wa msajili wa vyama ni kuakikisha vyama vya upinzani havikui na ndio maana kikatiba anateuliwa na raisi m/kiti wa CCM
Mwamba ana roho mgumu snWatu wenye misimamo kama heche wanahitajika san kweny hili taifa lililojaa machawa na walamba nyayo za viongoz!!
Itisheni kwanza nyie mmpitishe mgombe urais maana mpaka sasa hamna mgombea urais kwa mjibu wa katiba ya chamaUshauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema
Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.
Msipoitisha kitafutwa kweli
Hiyo ndio mission yenu, mnataka chadomo ifutwe. Anayepiga kelele za kiuta mwizi, mwizi. Kumbe yeye ndio mwizi.John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
We pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!Ukweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
SUREWe pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!
Nyerere alishasema ikulu ni mahali patakatifu ..
Watu kama hao huwezi kuwaachia ukawapa nchi ni watawatumbukiza shimoni vizuri kuwaacha wawe wapiga kelele tu .
wakati huohuo akifute ccm kisajiliwe upya kama kikundi ya uislamu na bakwataNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
---KIONGOZI ALIYEKIJENGA CHAMA KWA MUDA WA 20YRS HAWEZI KUZUNGUMZA UTUMBO WA AINA HII, HAWA WADANDIAJI HAWANA UCHUNGU NA CHAMA HAWANA CHA KUPOTEZA---John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
kwani kakosea wapi, na kukamatwa c huwa wanakukamata tuHeche analazimisha kukamatwa sasa
mulevi ni mutungi aliyelewa tungiKuifuta CHADEMA ni kama kumsukuma mlevi maana ilishajifiaš¼
Gharama za kulaza mtanzania wa kawaida pale muhimbili ni efu 50000/= kwa siku. Hata wakiitisha baraza kuu litakusaidia nn kupunguza hizi gharama. Watu wanakufa kila siku kwa kukosa matibabu wewe unakomaa na cadema???Itisheni baraza kuu acheni kutishia nyau
Ushauri wa bure, PUNGUZA BANGIKikundi cha kikatoliki ni kikundi gani, hao mabwege wana njama na nchi hii. Wasipotimiza takwa la kisheria kifutwe kweli. Hicho inaonesha ni kikundi cha kihaini. Huo nyau ni sawa na mbwa kumbwekea tembo. Angekuwepo Magu asingepanua huo mdomo wake asingerudi ht nchini