Watu kama hawa ndio wanafaa kuongoza Tanganyika.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi, Heche alisema, “Hakukuwa na uchaguzi nchi hii,” kauli iliyozua mijadala mitandaoni huku ikionekana kama ishara ya kutoridhishwa kwake na mchakato wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi, Heche alisema, “Hakukuwa na uchaguzi nchi hii,” kauli iliyozua mijadala mitandaoni huku ikionekana kama ishara ya kutoridhishwa kwake na mchakato wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Mwandishi amekomaa na swali lake hilo moja . HAYO NI MAELEKEZOMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi, Heche alisema, “Hakukuwa na uchaguzi nchi hii,” kauli iliyozua mijadala mitandaoni huku ikionekana kama ishara ya kutoridhishwa kwake na mchakato wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.
Rwanda waliua watu milioni kwa miezi mitatu hadi sita, Hitler Ulaya kama milioni kumi kwa miaka sita.Mimi sitambui uwepo wa bunge, wala rais maana hakukua na uchaguzi hata kesho siwezi kupoteza hata sekunde moja kumsikiliza muuaji.View attachment 3501254
Samia - The Dragular Bloody SpeechMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi, Heche alisema, “Hakukuwa na uchaguzi nchi hii,” kauli iliyozua mijadala mitandaoni huku ikionekana kama ishara ya kutoridhishwa kwake na mchakato wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni.