Heche: Lissu ana influence kubwa kwenye nchi hii, iwe CCM au CHADEMA hakuna mtu analingana naye

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026.

"Lissu ni mtu ambaye influence yake kwenye nchi hii ni kubwa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote across the board. Ikiwemo CCM na CHADEMA. Hakuna mtu anayelingana naye kwa umaarufu na ushawishi kwenye nchi hii."

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa mbona yupo ndani mwaka tena? Influence hio inamsaidia nini wakati anaoinfluencia wanatembea kwenye media?
Ndio inathibitisha woga wa watawala dhidi yake, angekuwa hana ushawishi mkubwa wangeshaachana naye!.
Kumbuka hakuna kesi ya msingi pale!.
 
Sahihi,watu kama Lukas mwashambwa na tlahtlah hawapendi HAya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…