Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
"Lissu anavua nguo watu wachache ndani ya chama havui chama nguo kama wewe umepewa rushwa tukikuambia Raidhan (mwandishi wa Jambo TV) umepewa rushwa tunashambulia Jambo TV? tunakushambulia wewe mla rushwa."
"Lissu havui chama chetu nguo anakipenda sana ndio maana anatembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA. Mtu anayekuletea porojo anaipenda CHADEMA kuliko sisi akuonyeshe amelipa gharama gani kwenye CHADEMA hii sio kukaa twitter kutukana."
"Hujawahi hata kujaribiwa/kuhongwa ukatae rushwa kwa sababu ya chama hiki kuna vijana wanatukana watu. Umewahi kujaribiwa kupewa fedha halafu ufikirie matatizo uliyonayo halafu uyaweke pembeni useme mimi kwa sababu ya wanachama na kwa sababu ya nchi yetu sitachukua hizi hela pamoja na kwamba nazihitaji. Maana yake uende nyumbani roho inakuambia nenda ukachukue hizi hela ufanyie hiki na wewe unasema kwa sababau ya watu wangu sitachukua hii."
"Huyo mtu unamuonaje ni tested and qualified (amejaribiwa na amfaulu) havui chama nguo anavua wala rushwa nguo na tutawashinda." - Hech