Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
aende akafanye nini kwa mfano mahakamani?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.
Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.
“Kwa nini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.
Kuifuatilia kwa makini hiyo kesi kwenye runinga, ni zaidi ya kwenda mahakamani.aende akafanye nini kwa mfano mahakamani?
uko sahihi 100%🤝Kuifuatilia kwa makini hiyo kesi kwenye runinga, ni zaidi ya kwenda mahakamani.
Si ndio maana kasema aulizwa mbowe sasa Heche atajuajebnyuma ya paziq ya Mbowe?Hii kauli ya “siwezi kumjibia mimi, Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa” inafanya mtu ajiulize maswali zaidi. 🤔 Kama tayari wamekutana na kufanya mazungumzo marefu nyumbani, halafu bado sababu ya kutofika mahakamani haijawekwa wazi, inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia ambalo umma bado haujaambiwa. Tusubiri ukweli ujitokeze kabla ya kufanya hitimisho. 👀
Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.💪🏿🔥Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.
Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.
“Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.
Sultan Mbowe alituchelewesha sanaMbowe alifanya CHADEMA GULIO LAKE,KUCHUKUA FEDHA CCM NA KUJIFANYA ANAIKOMBOA NCHI
Majibu yake yamenyooka, Ruler ikasome, hekima Sana huyu Kijana HecheHivi mlitaka Heche aseme nini? Unaweza kuta hata hajamuuliza. Heche anamuheshimu sana Mbowe ndio maana alimfuata nyumbani kwake kuongea nae. Kwa sababu hiyo hiyo Heche hawezi kumsemea Mbowe kama hajatumwa. Ni jibu la kiungwana na mtu anayetaka kujua sababu amuulize Mbowe.
Amandla...
Hujui hata solidarity ni nini.aende akafanye nini kwa mfano mahakamani?
Watu wanataka kuzusha tatizo mahali ambapo halipo. Swali la kijinga sana.Majibu yake yamenyooka, Ruler ikasome, hekima Sana huyu Kijana Heche
Sasa mbowe mwenyewe yupo na swali linahusu hisia binafsi kwanini aulizwe Heche!? Maana hilo lingekuwa swali zuri kama lingekuwa lilisha wahi kuwa ajenda ya chamaHii kauli ya “siwezi kumjibia mimi, Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa” inafanya mtu ajiulize maswali zaidi. 🤔 Kama tayari wamekutana na kufanya mazungumzo marefu nyumbani, halafu bado sababu ya kutofika mahakamani haijawekwa wazi, inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia ambalo umma bado haujaambiwa. Tusubiri ukweli ujitokeze kabla ya kufanya hitimisho. 👀
Hivi kuna ulazima gani Mbowe kwenda mahakamni? vijana wa chadema wana shida ya kiakili
Hii kauli ya “siwezi kumjibia mimi, Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa” inafanya mtu ajiulize maswali zaidi. 🤔 Kama tayari wamekutana na kufanya mazungumzo marefu nyumbani, halafu bado sababu ya kutofika mahakamani haijawekwa wazi, inawezekana kuna jambo nyuma ya pazia ambalo umma bado haujaambiwa. Tusubiri ukweli ujitokeze kabla ya kufanya hitimisho. 👀