Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema:
"Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya kuiba uchaguzi alikuwa anaamini watu wa Msumbiji ni Kondoo kama CCM inavyoamini hapa Tanzania, na alivyokwenda Kwenda kufanyia kazi alichofundishwa kumewaka moto."
"Na CCM tunawatahadharisha hawa Watanzania vijana ambao hawana kazi na wanaonamnaiba pesa zao hawa watu watachukua hatua kali msipobadilisha mambo hayo...Na sisi tutawaongoza, sisi tunachofanya ni kuomba Watanzania watuunge mkono ili tuwe mbele kuwaongoza kubadilisha Tume ya uchaguzi ili uchaguzi usiibiwe akishidwa Heche ashindwe kwa haki, akishinda ashinde kwa haki."