Serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi utaijua tu kwani badala ya kupigania maendeleo ya wananchi wake maskini yenyewe iko busy kutengeneza machawa kama hawa ambao hawataki kufanya kazi.Yes gentleman,
heche ndie fisadi mkuu wa pesa za chadema,
na kwahivyo ndie pekee anaestahili kuzungumzwa sana, kunyooshewa kidole sana na kila anachukia ufisadi ndani ya chadema, na kumshinikizwa aachie nganzi kupisha uchaguzi huru wa kichama dhidi ya ufisadi wake dhidi ya pesa na rasilimali za chama 🐒
Ufisadi sio serikalini tu hata kwenye vyama vya siasa Ufisadi upo, chadema sio mali ya mtu binafsi ni mali ya umma so hata mali zake ni za umma pia, lazima tuhoji ubadhirifu huu na tutamshinikiza heche aachie ngazi kupisha uchunguzi huru ndani ya chama.Heche hafanyi kazi serikalini huo ufisadi ameufanyia wapi. Ripoti ya CAG kila mwaka ni uwizi mtupu lkn hakuna anayeguswa hayo hamuoni halafu unakuja kuandika upumbavu humu kisa Heche amekataa kununuliwa ili kukisaliti chama chake. Bure kabisa machawa wa Samia.
Kwa sisi wazee wa zamani tuna msemo wetu!Yes gentleman,
heche ndie fisadi mkuu wa pesa za chadema,
na kwahivyo ndie pekee anaestahili kuzungumzwa sana, kunyooshewa kidole sana na kila anachukia ufisadi ndani ya chadema, na kumshinikizwa aachie nganzi kupisha uchaguzi huru wa kichama dhidi ya ufisadi wake dhidi ya pesa na rasilimali za chama 🐒
Haya mambo tuachie sisi wenye AKILIKwa mantinki ya Heche, basi mwenye mpira ni CCM na Captain wake ni Mama Samia!
Lionel Messi wa ufisadi ndani ya chadema taifa anajaribu kujitutumua mpaka anaharibu zaidi 🤣Kwa sisi wazee wa zamani tuna msemo wetu!
Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe
wewe endelea na UCHAWA kwa SA100
Ccm na serikali yake haramu wao ufisadi mkubwa wanaufanya ambao ndio msingi mkuu wa ufukara wa watanzania na ambao ndio chanzo cha kuzaa machawa kama nyie mmeufanyia nini.Ufisadi sio serikalini tu hata kwenye vyama vya siasa Ufisadi upo, chadema sio mali ya mtu binafsi ni mali ya umma so hata mali zake ni za umma pia, lazima tuhoji ubadhirifu huu na tutamshinikiza heche aachie ngazi kupisha uchunguzi huru ndani ya chama.
Kama ushahidi unao fuata taratibu nazani watashughulikiwa!!Ccm na serikali yake haramu wao ufisadi mkubwa wanaufanya ambao ndio msingi mkuu wa ufukara wa watanzania na ambao ndio chanzo cha kuzaa machawa kama nyie mmeufanyia nini.
Ahahahahaha! Wenye akili!Haya mambo tuachie sisi wenye AKILI
Kuwa kichaa siyo lazima uvue nguo hadharani, mpira gani anao!Wadau, jana Chuma Heche ametoa neno linalohitaji fikra tunduizi kwa kusema 'mwenye mpira ndio anayekabwa na akaenda mbali kwa kusema mpira uko chini ya udhibiti wake ndio maana wakabaji wa mpira lazima wamfate yeye' je, kauli hii nyinyi mmeielewaje? Naomba majibu (my insistence is that response should be given by those with sobriety).
TAL Yuko ndani,wakazani wamezima moto, Kumbe ndio wameweka petroli bila kujua,moto umesambaa vibaya mno!Wadau, jana Chuma Heche ametoa neno linalohitaji fikra tunduizi kwa kusema 'mwenye mpira ndio anayekabwa na akaenda mbali kwa kusema mpira uko chini ya udhibiti wake ndio maana wakabaji wa mpira lazima wamfate yeye' je, kauli hii nyinyi mmeielewaje? Naomba majibu (my insistence is that response should be given by those with sobriety).
Bora wangemrudisha Mzee makamba nalfudhi yake ya kisambaa!Kibaya zaidi chama changu kitakimbilia kutuma Mwaipopo au Msigwa kujibu.
Yule Kihongosi na Migiro wamepwaya kabisa
Pale alitosha yule mzee kinana! Au yule waliomteka ila wao watu muhimu wanawamaliza kabisaBora wangemrudisha Mzee makamba nalfudhi yake ya kisambaa!
Upepo umegoma,Jahazi limekwama! mboga mboga hawaamini!Serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi utaijua tu kwani badala ya kupigania maendeleo ya wananchi wake maskini yenyewe iko busy kutengeneza machawa kama hawa ambao hawataki kufanya kazi.
Kutwa nzima ni kushinda kwenye mitandao kuandika ujinga ili wapewe vihela vya kujikimu na mafisadi wa ccm.
Heche hafanyi kazi serikalini huo ufisadi ameufanyia wapi. Ripoti ya CAG kila mwaka ni uwizi mtupu lkn hakuna anayeguswa hayo hamuoni halafu unakuja kuandika upumbavu humu kisa Heche amekataa kununuliwa ili kukisaliti chama chake. Bure kabisa machawa wa Samia.
Kwamba wewe unaihurumia CHADEMA hutaki iibiwe unataka istawi?How ironic?Yes gentleman,
heche ndie fisadi mkuu wa pesa za chadema,
na kwahivyo ndie pekee anaestahili kuzungumzwa sana, kunyooshewa kidole sana na kila anachukia ufisadi ndani ya chadema, na kumshinikizwa aachie nganzi kupisha uchaguzi huru wa kichama dhidi ya ufisadi wake dhidi ya pesa na rasilimali za chama 🐒
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.Shikilia hapo hapo Heche,raha naona mimi hii sio cdm ya Mbowe ya ulaghai
Yupo sahihi kwa namna fulani.Kwamba wewe unaihurumia CHADEMA hutaki iibiwe unataka istawi?How ironic?
Kafanyiwa auditing na nani Hadi useme Kuna ubadhifuIla hapa CCM watakuwa wamepata funzo kubwa sana kama wanatumia akili. Unamzushia mtu wizi halafu wananchi wanakupinga na kumwongozea