Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,835 Reaction score 8,703 Jul 8, 2026 #21 CAPO DELGADO said: Tanzania ilipofika inasiitisha Sana. Unua kisa Madaraka? Watoto wanakosa Baba. Mama anakuwa Mjane Nguzo ya Familia Inatoweka. Vipi Jamii ya watanzania wanaionaje selikali??? Jumuia za kimataifa zinatuonaje???? OMBA YASIKUPATE. HAKUNA ALIYE SALAMA. Click to expand... Uchunguzi wa mwili wa marehemu unasemaje!? ... CHADEMA ILIWAKILISHWA PIA!
CAPO DELGADO said: Tanzania ilipofika inasiitisha Sana. Unua kisa Madaraka? Watoto wanakosa Baba. Mama anakuwa Mjane Nguzo ya Familia Inatoweka. Vipi Jamii ya watanzania wanaionaje selikali??? Jumuia za kimataifa zinatuonaje???? OMBA YASIKUPATE. HAKUNA ALIYE SALAMA. Click to expand... Uchunguzi wa mwili wa marehemu unasemaje!? ... CHADEMA ILIWAKILISHWA PIA!
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 5,995 Reaction score 8,799 Jul 8, 2026 #22 Tlaatlaah said: unafiki wa binadamu hua ni kitu mbaya sana aise, yaani sijui muhusika alie mmaliza mwendazake kwa sumu kwasababu tu ya pesa anawaza nini hapo dah, Ama kwa hakika pesa ni mwanaharamu 🐒 Click to expand... Ndukumu wewe
Tlaatlaah said: unafiki wa binadamu hua ni kitu mbaya sana aise, yaani sijui muhusika alie mmaliza mwendazake kwa sumu kwasababu tu ya pesa anawaza nini hapo dah, Ama kwa hakika pesa ni mwanaharamu 🐒 Click to expand... Ndukumu wewe
SMART PASSENGER JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,117 Jul 8, 2026 #23 Hii vita itaishaje , subiri tuone