Na Bado Hadi mtubu Kwa mamaMzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
Baada ya kichapo 🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Mama gani? yaani mama yako kachukua nafasi ya Mungu ambaye watu wote tunatubu kwake. Yaani kamuulize Nebkadreza na akina faraoNa Bado Hadi mtubu Kwa mama
Vp kipindi cha JPM?Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Kamuulize Sugu 😁😁Mama gani? yaani mama yako kachukua nafasi ya Mungu. Yaani kamuulize Nebkadreza na akina farao
Pamoja sana Vijana amkeni tupiganie HAKI.Sawa! Hata kambi ile na wao muda wa kudanganywa umeisha!
View attachment 3314602
Jisahihishe acha kucheza na nafasi za mzee wa siku(Mungu) wewe kijana.Kamuulize Sugu 😁😁
Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Wakuu,
Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦♀️🤦♀️🤦♀️
=====
Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:
Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.
Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.
Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.
Asanteni Watanzania.
Pia soma:
My lady plz,Wakuu,

Au siyo? Kamuulize Sugu ameshashika adabu.Jisahihishe acha kucheza na nafasi za mzee wa siku(Mungu) wewe kijana.
wewe dogo wewe, jilinde maana Mungu ni moto wa kuotea mbaliAu siyo? Kamuulize Sugu ameshashika adabu.
Na Bado Hadi mtubu Kwa mama
Mama anapaswa kuwatia adabu watukutu na hii kazi ameiweza 😂😂Huyu hana hadhi wala sifa ya kuitwa mama. Hivi wewe una mama ambaye ana ushetani wa kiwango hik8?
Huna hoja 🚮🚮
Haha nakupa Miezi 4Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania