Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Wanadai ni ....My lady plz,
na swali kidogo nataka kujua.
hivi walinzi wa heche hua wana kazi gani haswa, mbona heche hua anakamatwa na wao wanang'aa macho tu? Au wanalindaga nini?๐
Tatizo sio mzanzibar bali tatizo ni watanganyika wenyewe wamekubali na kumpa mwanya mzanzibari huyo haipeleke hii nchi kihuni kwa malipo ya wao kuruhusiwa kufanya ufisadi kadri wanavyojiskia bila kuchukuliwa hatua yoyote.Mzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
jifanye tu, utakumbuka siku unaimbiwe wimbo wa mwisho.Huna hoja ๐ฎ๐ฎ
Unabii unaonyesha kwamba Chadema itachanua na kutakuwa na msiba upande wa mamlukiHaha nakupa Miezi 4
Hiyo Jeuri Heche atokua nayo tena
Mark my word.
Aiseee!Mwaka huu Heche atafundishwa kuwa na adabu๐
OkayMama anapaswa kuwatia adabu watukutu na hii kazi ameiweza ๐๐
๐ฎ๐ฎjifanye tu, utakumbuka siku unaimbiwe wimbo wa mwisho.
Angalia usije KWENDA ww tu....Mzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
Nakuambia tenaUnabii unaonyesha kwamba Chadema itachanua na kutakuwa na msiba upande wa mamluki
Wavunjwe mig0ng0 tu....Mama anapaswa kuwatia adabu watukutu na hii kazi ameiweza ๐๐
...wale BAVICHA zile bisibisi za nn katika mifuko ya0?!!Mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu yanatia aibu, unamkamata mtu kwa kwenda mahakamani kusikiliza kesi?
Hahaha umeshindwa kujitetea.๐ฎ๐ฎ
Walikuwepo akina Bokasa idd Amin dada na wenzao leo wapo wapi?Haha nakupa Miezi 4
Hiyo Jeuri Heche atokua nayo tena
Mark my word.
... wako.... familia zao ziko....Yupo wapi magu, mabutu, Chiluba, Elibashiri wa Sudan, idd Amin Dada, Sadam Hussein, Bokasa na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho?
... dola ni takatifu haichezewi.....Polisiccm wasomewe visomo vya laana