PreGE2025 Heche na wasaidizi wake waachiwa na polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.

Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Haya maneno ndiyo yanayo watia kiwewe Samia na genge lake. Ni maneno ambayo yanachoma ndani ya mioyo ya waovu wote nchi hii. Ni maneno yanayotia moyo sana kwa waTanzania wote wenye mapenzi na nchi yao.

hakuna kiasi cha mateso kinachoweza kuzuia mabadiliko.
 
Mwaka huu Heche atafundishwa kuwa na adabu😁
Sidhani kuwa ni Heche ndiye "atafundishwa kuwa na adabu". Kuna uwezekano mkubwa sasa kuwa hao unaodhani wanawafundisha wengine, wao ndio watakuwa kwenye nafasi hiyo. Usiwe kipofu wa macho na akili, huo ni ulemavu mbaya zaidi.
 
Na yeye Samia wala asisikie au kuona chochote na kukitolea kauli.
Si maajabu hayo mkuu 'Muhimbu'?

Kama ni kweli unayoeleza wewe, huyu Rais atakuwa ni wa kipekee sana!
 
Polis unakamata watu na kwenda kuwatupa maporini, huyu aliyetoa hii amri ilipaswa awajibishwe kabisa
 
Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Lingekua dhaifu usingeishia keyboarding republic wewe dada

Ungekua kwenye field
 
Huyu sijui ni kitengo, mbona huwa halalimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…