Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Hao mambwa wamshukuru huyu mama, ingekuwa mwanaume hao wasingeongea hayo maneno, akatafute mabadiliko nyumbani kwake. Natamani wanaume km M7 na Kagame sipendi wapumbavu wasiotii mamlaka. Ht hivyo hayo mabadiliko labda watayapata kaburini. Km ni mabadiliko ya maendeleo Rais wetu ameyafanya mengi sana. Hao vibaraka wavuta bangi wateketezweWakuu,
Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦♀️🤦♀️🤦♀️
=====
Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:
Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.
Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.
Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.
Asanteni Watanzania.
Pia soma:
Ingekuwa dhaifu mngeshughulikiwa vilivyo? We ni msukule mbn hujitokezi huko?Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Km we ni mtanganyika katafute hiyo nchi uko nchini kwetu kimakosa.Mzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
We bwege Samia ni mkuu huna budi kumtii vinginevyo fanya upumbavu wako wanaume watakushughulikiaMama gani? yaani mama yako kachukua nafasi ya Mungu ambaye watu wote tunatubu kwake. Yaani kamuulize Nebkadreza na akina farao
Watu hawakuangalia historia ya mzee Wambura kabla kumpa hiyo kazi kubwa kuliko,hebu tafuta historia yake kila alikopita.Yule mkerewe mtamuona cha mtoto walah tena!!Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Hili mama liondoke tu.Mzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
Kwani mulliro na Chalamila hawaw
ezi kushtakiwa wao kwa maji a yao au na vyeo vyao? Waandishi wa habari saidieni mawakili tuanze na mulliro na chalamila
Vijana amkeni kuna haja ya mapambano.
Hao askari si wanakaa huko mtaani?
Tutalipiza.
Labda unadhani ni Heche ni mdada kama wewe?Haha nakupa Miezi 4
Hiyo Jeuri Heche atokua nayo tena
Mark my word.
Katubu kwa Mungu aliye juu acha matusiWr
We bwege Samia ni mkuu huna budi kumtii vinginevyo fanya upumbavu wako wanaume watakushughulikia
Mzee Ruksa aliwahi kumuasa kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa mashati ya kijani wenzako, naona amepuuza maneno ya mzee na kuamua kuwasulubu wapinzani huku wa kijani wenzake wanaomshauri wakichekea chooni jinsi anavyouvaa mkenge.Maskini ya Mungu huyuu mama wanamdanganya. Kikulacho kinguoni mwaka.
WW NN UNAYEMTISHA HECHE? MTU USIYEWEZA HT KUTENGENEZA SISIZIMIZI? ACHA UFALAHaha nakupa Miezi 4
Hiyo Jeuri Heche atokua nayo tena
Mark my word.
Mkuu Kalamu nimejaribu kuelezea hisia zangu zaidi kulingana na jinsi ninavyouona uongozi wa Samia tangu awali.Na yeye Samia wala asisikie au kuona chochote na kukitolea kauli.
Si maajabu hayo mkuu 'Muhimbu'?
Kama ni kweli unayoeleza wewe, huyu Rais atakuwa ni wa kipekee sana!