PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We mama sijui unaongea nini?Karne na Karne coal imetumika kutengenezea haya maendeleo ya viwanda vilivyopo Leo hata kabla ya umeme wa viwandani,viwanda vyote duniani vilianzia makaa ya mawe,viwanda vya meli,treni etc halafu wewe unasema eti makaa sio issue!!!Ok Leo hilo bwawa lenu la Nyerere limekamilika Mbona bado gharama za umeme zipo juu???Viwanda Mbona vina prefer coal sana kuliko umeme???Punguza uchawa mama
Acha kutetea ujinga. Umeme unahitajika kuliko hicho kiwanda. Umeme una manufaa kwa watanzania wote ila kiwanda hakitagusa maisha ya watanzania wote. Umeme wa uhakika utazalisha viwanda vingi zaidi. HECHE NI AKILI NDOGO SANA.
 
Hicho kiwanda cha chuma kingeendeshwa kwa umeme wa mafuta taa? Nchi ilikuwa na MW 1600 tu kuhudumia watu 60m.. umeme ulihitajika kwanza kuliko kitu kingine. Ushauri wake ulikuwa mzuri kama kungekuwa na umeme wa kutosha.
Kingeendeshwa kwa makaa ya mawe
 
Hicho kiwanda cha chuma kingeendeshwa kwa umeme wa mafuta taa? Nchi ilikuwa na MW 1600 tu kuhudumia watu 60m.. umeme ulihitajika kwanza kuliko kitu kingine. Ushauri wake ulikuwa mzuri kama kungekuwa na umeme wa kutosha.


Makaa ya mawe yangezalisha umeme wa kutosha kuendesha smelter, na ziada ingeingizwa kwenye grid ya Taifa.
 
Makaa ya mawe yangezalisha umeme wa kutosha kuendesha smelter, na ziada ingeingizwa kwenye grid ya Taifa.
Mkiingia madarakani mwaka 2455 mtafanya yote mnayosema... kwa sasa twende na ilani ya uchaguzi ya CCM.
 
Tumwalike Traore Ibrahim aje atuambukize maarifa ya kutumia rasilimali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…