Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
IF NOT AI GENERATED, ATATOA USHAHIDI, ANAO USHAHIDIMakamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
ndio kwanza kunakucha, migambo wanaruka na kukanyagana mpaka ifike jioni wameshauanaNdio kwanza dakika ya kwanza
Mwaka huu CCM hakuna rangi mtaacha kuona
Duh,huyu mama tumfurushe.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Hilo mnadhani litawaingiza ikulu?Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Ni US dollars acha wenge, soma ukiwa umetulia, punguza uchawa, hiyo ni zaidi ya bil 60!We heche naomba usimguse samia
Milion 24 ndio unaona kubwa kwa rais wetu kula kweli
Mbona noma nani aliruhusu achukue hizo pesaNi US dollars acha wenge, soma ukiwa umetulia, punguza uchawa, hiyo ni zaidi ya bil 60!
Hivyo vipapatio vilipikwa ikulu ?
Sasa majinga km haya ndiyo yashinde uchaguzi? Wazushi, waongo, wapotoshaji zaidi ya ujinga ujinga hakuna la maana la kuwaambia wananchiMakamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani Tanzania hakuna wafugaji kuku?..si kuna kuku wanaagizwa Uturuki?
..sasa kama Uturuki wameishiwa kwanini usiagize toka Marekani?