Pre GE2025 Heche: Tumejihakikishia kwa chaguzi tatu kwamba CCM haitaki uchaguzi

Pre GE2025 Heche: Tumejihakikishia kwa chaguzi tatu kwamba CCM haitaki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche amebainisha kuwa wamejihakikishia kwa takribani chaguzi tatu kamba CCM haitaki uchaguzi ada imeleta sheria zinazowanyima fursa ya kushindana kwa haki.

 
Jamaa yuko vizuri sana. Ameongea ukweli mtupu kwa lugha nyepesi iliyofanya aeleweke vizuri sana.

Kweli safari hii CHADEMA wamepata viongozi makini na smart!
 
Back
Top Bottom