Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza.
Heche amebainisha kuwa wamejihakikishia kwa takribani chaguzi tatu kamba CCM haitaki uchaguzi ada imeleta sheria zinazowanyima fursa ya kushindana kwa haki.