Heche: Uchumi wetu unahujumiwa na watu wasiokuwa na maarifa, wezi na mafisadi

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mwalimu Nyerere alijenga na kuacha misingi yote ya kuinua Uchumi na kubadili maisha ya watu.

Mafisadi wanaiba, wanapora na kuacha mamilioni ya watu wakiwa masikini, vijana hawana namna ya kupata ajira kwasababu viwanda na maeneo ya kuajiri vijana yamehujumiwa.. wanafanya haya ili wao na familia zao watajirike kwa kuagiza na kuingiza bidhaa za kiwango cha chini Nchini Lakini pia wawanyonye wakulima kwa wao kuchukua mazao yao kwa bei za chini na kuuza nje kwa bei za juu.

Kufunga, kuua, kuteka na kunyamazisha watu haitawasaidia chochote, sana mnachochea chuki kubwa ambayo hata nyie mtajutia siku sio nyingi.

Watu wanaojitokeza kukemea haya wanatekwa, wanauwawa na kupotezwa, wanaodai mabadiliko ya halali ya mifumo na sheria wanafungwa kama wanavyopanga kumfunga Mwenyekiti wetu Lissu.Watanzania msikubali sauti yenu ikanyamazishwa na waovu, kila anaewasemea mlindeni kwa wivu mkubwa.

Msiogope tutashinda kwasababu tuko upande wa haki.


Your browser is not able to display this video.
 
alipozingua baba wa taifa ni hapa

Aliamini kuandika mawazoyake binafsi(falsafazake) juu ya uongozi

akasahau kubadili katiba na ndo mzigo mkubwa aliotuachia
 
heche piga kwenye mshono mpaka wapuzuke puuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…