"Tunapokea ushauri wenu ila mstuelekeze la kufanya".......mtu moja kasema hivoMakamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche ametaka uchunguzi ufanyike na vyombo vya kimataifa kuhusu kilichotokea nchini tarehe 29 Oktoba 2025 siku ya uchaguzi Mkuu na sio vyombo kutoka ndani ya nchi kwa kuwa ndivyo vinavyotuhumiwa.
Heche ameyasema hayo hii leo tarehe 12 Novemba 2025, kwenye viunga vya Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam, mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la uhaini linalomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
Unadhani huo uchunguzi wa kimataifa ni kama huu wa kina murilo wa kusema nilisikia maneno ya Lissu nikahamasika?Kama watafunguliwa milango na by the time wanafunguliwa milango kila kitu kitakuwa kimeshasafishwa na witnesses kupangwa usishangae wakawa another rubber stamp kwamba hali ilikuwa sawa sawia apart from few mishaps...
Wa wapi Scotland Yard - Kifo cha Auko mwisho wa siku walipata mtu without reasonable doubt au waliongezea sintofahamuUnadhani huo uchunguzi wa kimataifa ni kama huu wa kina murilo wa kusema nilisikia maneno ya Lissu nikahamasika?
We undhani kwa nini wanaogopa vyombo vya nje kuja kuchunguza?
Waombe tu waruhusu hao wachunguzi wa nje waje wafanye uchugunzi wa mdude au Polepole uone watu watakavyoumbuliwa
Wale ni Next level