me and I JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 1,540 Reaction score 1,357 Feb 27, 2018 #1 Habari za muda huu waungwana, Nina swali kidogo nahitaji majibu, je ile damu ya hedhi kwa mwanamke inaweza sababisha maambukizi ya virusi vya UKIMWI?
Habari za muda huu waungwana, Nina swali kidogo nahitaji majibu, je ile damu ya hedhi kwa mwanamke inaweza sababisha maambukizi ya virusi vya UKIMWI?
I inyele JF-Expert Member Joined Aug 8, 2017 Posts 1,661 Reaction score 1,299 Feb 28, 2018 #2 Mkuu kwanini unarudiarudia kupost kitu kile kile ??!! Ina maana haujaridhika na majibu au VP?!!!