Savi B Tighter
Member
- Oct 23, 2016
- 23
- 9
Habari za majukumu wa ndugu.
Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada
Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu