Hedhi kujirudia

Joined
Oct 23, 2016
Posts
23
Reaction score
9
Habari za majukumu wa ndugu.
Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada

Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu
 
Habari za majukumu wa ndugu..
Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada

Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2
Naomba ushauli wa kitabibu
Mzunguko mfupi kabisa ni siku 21......

Je mke anatumia njia zozote za uzazi wa mpango?????

Aende hospitali
 
Habari za majukumu wa ndugu..
Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada

Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2
Naomba ushauli wa kitabibu
Umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…