Hata hujaeleweka, ukisema hazijatuliwa kwa chart hiyo ni vipi? yeye mbona yuko sawa tu, ina maana anamzunguko wa siku 30, ambayo kuanza na siku ya 29 au 30 ni kawaida sana, kuna ambao wanamzunguko wa siku 21, yani janauri akibleed tarehe 30, basi February itakuwa tarehe 23, march itakuwa tarhe 16, hapo yuko sawa kabsaa, na kuhusu kupitisha siku mbona hapo kapitisha siku 6 tu, sio 35 kama unavyodai, kama mwezi ulopita kableed siku ya 30 na leo mpaka siku ya 35 hajapata ni siku 6, subiri baada ya wiki 2 au 3 kampime mimba.