N ngege john JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 593 Reaction score 116 Apr 25, 2014 #1 Naomba kujuzwa na wanajf sababu za baadhi ya wanawake wanapopatwa na siku zao huugua sana tumbo mpaka kuishiwa nguvu na hata wengine kupelekea kuzimia.
Naomba kujuzwa na wanajf sababu za baadhi ya wanawake wanapopatwa na siku zao huugua sana tumbo mpaka kuishiwa nguvu na hata wengine kupelekea kuzimia.