Hedhi ya mabonge

Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
1
Habari ya asubuhi wandugu
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Jaman mwenzenu kama nilivouliza mara ya kwanza kuhusu sindano ya uzazi wa mpango ambayo nilichoma mwezi wa tisa mwaka jana na iliisha tar 22 dec, 2014.

Lakni baada ya kuisha sikuchoma tena niliachana nazo ili nitumie njia ya carenda na ilipoisha tu tar 24 nilianza hedhi ambayo ilikuwa ndefu sana km siku 12 hivi nilimuuliza docta akanambia ni sindano bado haijaisha vizuri.

Lakni mwezi huu wa kwanza nimeanza hethi jana cha ajabu ina mabongebonge saana mpaka naogopa maana haijawahi kunitokea toka nimepevuka halafu tumbo linaniuma sana chini ya kitovu.

Sasa wadau naomba kuuliza je bado ni sindano niliyochoma sept mwaka jana inasababisha haya au kuna shida ingine zaidi? nimeona nipate ushauri wa wadau kabla sijaenda hospital ili nijue cha kufanya.

Natanguliza shukrani zangu na samahani kwa kuwachosha na maelezo marefu
 
Nenda Hosp, Na Wakat Hu Kunywa Maj Ya Moto Hasa Asubui, Itakusaidia
 

Kamuone Daktari.
 
'
Hapo kwanza kama hedhi yako ni ya damu nyeusi halaf ina mabongebonge hapo mimba imetoka pia kama unasikia maumivu makali chini ya kitovu, maeneo ya upande wa mbavu kushoto, pamoja na mgongoni wakati wa siku za hatari na siku za hedhi utakuwa na mchango. kama hizo dalili hazipo litakuwa tatizo jingine
 
 
hakuna tatizo lolote hapo ni sindano hiyo ya uzazi wa mpango
ukikaa kwa muda wa miezi minne mambo yatakuwa kawaida.pia unapotaka kutumia uzazi
wa mpango jaribu kumuuliza doctor athari zake na faida zake ili uchague njia iliyo sahihi kwa afya yako
 

japo mii sijazaa bado naweza kukuelewesha kidogo

kibiologia ni kwamba hizo dawa za uzazi zina vuruga mfumo wa endocrine gland zinazohusika na kutoa

hormones(sijui kiswahili inaitwaje) za oestrogen na progesterone zinahusika na kuchavusha ovary pia h

vya uzazi huzuia hizo hormone zisizalishe sasa , madhara yake ni kwamba mfumo ya menstral cycle huvurugika

hivyo huenda ovary 2 vizatoka kwenye fallopian tube zote hivyo kama hakuna fertilization(uchavushaji) kutoka

mbegu ya kiume endometrium walls zinakuwa shredded off kama damu ya hedhi , hedhi kupitiza ni madhara hasi yatokanayo na vidonge hivyo .

nirekebisha nilipokosea tuna share ujuzi


ndipo endometrium walls zina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…