Hedhi ya uongo kwa watoto wa kike baada ya kuzaliwa

Hedhi ya uongo kwa watoto wa kike baada ya kuzaliwa

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa, mtoto wa kike anaweza kutokwa na kiasi kidogo cha damu kwenye via vyake vya uzazi.

Kitendo hiki kinachofahamika kama false menses (Hedhi ya uongo) ni cha kawaida lakini hakipaswi kutokea tena hadi pindi atakapo vunja ungo.

Huchangiwa na kuondoka kwa mazingira yenye wingi wa homoni za estrogen ambayo alikaa nayo wakati yupo tumboni kwa mama yake.

Kitendo hiki huisha chenyewe baada ya muda mfupi, lakini ni muhimu kwa wazazi kupata uchunguzi na ushauri wa daktari kwa kuwa katika nyakati chache hutoa ishara ya uwepo wa changamoto kwenye tezi za Adrenali.

NCBI
 
duu hhii kali ya mwaka yaani mtoto mchanga kupata breed? apo lazima kutakuwa na mkono na mtuu ....
 
Back
Top Bottom