Gawanya siku za mwanamke (28) kwa tatu (3), yaani toka siku ya kwanza mpaka ya 28. Utapata 9, kwa hiyo kuanzia siku ya kwanza mpaka ya tisa( zikiwamo zile za hedhi) ni salama. Kuanzia siku ya 10 mpaka 18 itakuwa ni siku za hatari, ikimaanisha uwezekano wa kubeba mimba ni mkubwa. Kuanzia siku ya 19-28 ni kipindi salama tena. Lakini huwa si ya kuaminika mara zote, kwani mwili wa mwanadamu hubadilika(Dynamic) so it will be wise to use extra protection along with safe period.
<br />Gawanya siku za mwanamke (28) kwa tatu (3), yaani toka siku ya kwanza mpaka ya 28. Utapata 9, kwa hiyo kuanzia siku ya kwanza mpaka ya tisa( zikiwamo zile za hedhi) ni salama. Kuanzia siku ya 10 mpaka 18 itakuwa ni siku za hatari, ikimaanisha uwezekano wa kubeba mimba ni mkubwa. Kuanzia siku ya 19-28 ni kipindi salama tena. Lakini huwa si ya kuaminika mara zote, kwani mwili wa mwanadamu hubadilika(Dynamic) so it will be wise to use extra protection along with safe period.
Whao...Dumelang hii formula yako sijawahi kuisikia lakini ni ukweli kabisa (only kwa wenye mzunguko wa siku 28 kama huyu mleta mada), i'publish' mkuu kama hujaicopy sehemu!
<br />Wenye mzunguko wa siku 28, siku ya 1 ni ile anapoingia hedhi hutakiwi kufanya mapenzi siku 5 kabla ya hedhi kwa sababu sperms survive for 3 or 4 days in female body, siku 4 au 5 wakati wa hedhi pia siku 3 baada ya hedhi this is called dry period ( no mucus vagina become dry) after that you can sex without protection until 5 day before hedhi.
njoo tutest!