Hedhi

haka

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
7
Reaction score
5
Habari zenu wana JF

Nomba msaada rafiki yangu anatatizo la kubadilika mpangilio wa hedhi,mwezi wa nane alikuwa na mzunguko wa siku 27, mwezi wa tisa siku 26, mwezi wa kumi siku24 na period imekuwa ni heavy flow.

Anaomba msaada wa kujua tatizo ni nini.
 
Je huyo rafiki yako au ndio wewe rafiki yako umesha zaa watoto? nenda Hospitali huenda una matatizo ya Hormone nenda kamuone Daktari ni wewe sio rafiki yako mbona unajificha?
 
hahahahahaha
Binadamu kwa kupenda kusema maneno ya uongo anajıitia rafiki yake wakati mimi ninajuwa kuwa ndio yeye anasema rafiki yangu kwani ukisema ni wewe nani atakujuwa zaidi ya hapa kwenye forums? Ahhhh nimechoka na kesi za rafiki yangu.
 
kwa nilivyowah kuelezewa na dokta, kubadilika kwa tarehe ya hedhi sio tatizo.......ni mabadiliko ya kawaida tu......ila kama una bleed kuliko kawaida ni bora kumuona mtaalam wa afya kwa uchunguz zaid.
 

hii inatokea. kuna mmoja alikuwa wakti mwingine inawahi, wakati mwingine inachelewa mpaka siku 7. nasikia wengi wao huwa watamu sana!
 
Nasikia eti Nguruwe nae huingia katika siku zake. Je jilo sio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…