Inasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini.
kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana akiwasalimia watu. Aisee ni wengi na wana mabango yao kabisa kama inavyosemwa.
mh, kumbe yatupasa tuwe makini humu aisee; ukiambiwa, changanya na zako.....zingine ni siasa tu kumbe!!