Sijakuelewainasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini.
kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana akiwasalimia watu......aisee ni wengi na wana mabango yao kabisa kama inavyosemwa.
mh, kumbe yatupasa tuwe makini humu aisee; ukiambiwa, changanya na zako.....zingine ni siasa tu kumbe!!
watz kabisa, tena amewausia warudishe mitaji yao kutoka huko zambia walikoikimbizia kwani sasa nyumbani kumenoga......shangwe lilikuwa kubwa sana baada ya kauli hii😃😃😃 aseee nina mashaka na uraia wa hawa watu...wanaweza wakawa waZambia
fuatilia tu utaelewa kamanda!!Sijakuelewa
Hao watu walijuaje kuwa anaenda?inasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini.
kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana akiwasalimia watu......aisee ni wengi na wana mabango yao kabisa kama inavyosemwa.
mh, kumbe yatupasa tuwe makini humu aisee; ukiambiwa, changanya na zako.....zingine ni siasa tu kumbe!!
hayo mi sijui, mi nimeona tu watu kama ilivyosemwa. kwamba wameandaliwa au hawakuandaliwa hilo sina maarifa nalo kwakweli!Hao watu walijuaje kuwa anaenda?
Kama hawakuandaliwa, mabango wameyaanda saa ngapi?
Mkawadanganye vilaza wale mnaowagawiaga kofia za chama
Ni mwanasiasa gani ambaye bila taarifa anafika mahala bila taarifa alafu anakuta TANZANIA NZIMA INAMSUBIRI??Hao watu walijuaje kuwa anaenda?
Kama hawakuandaliwa, mabango wameyaanda saa ngapi?
Mkawadanganye vilaza wale mnaowagawiaga kofia za chama
Bila shaka huyu jamaa anataka apige hela mbona anatumia nguvu kubwa sana na janjajanja zakiainaNi mwanasiasa gani ambaye bila taarifa anafika mahala bila taarifa alafu anakuta TANZANIA NZIMA INAMSUBIRI??
Kipi kinakufanya hao wengine hawatumii nguvu kubwa?Bila shaka huyu jamaa anataka apige hela mbona anatumia nguvu kubwa sana na janjajanja zakiaina
Mkuu wewe ni mgeni kwa hawa vilaza wa CCM??Ni mwanasiasa gani ambaye bila taarifa anafika mahala bila taarifa alafu anakuta TANZANIA NZIMA INAMSUBIRI??
Si hapa tunamzungumzia mwigulu au ?Kipi kinakufanya hao wengine hawatumii nguvu kubwa?
Mimi ni mwenyeji wa nyumbu toka ZITTO YUPO CHUO NA MBOWE NDIYE RAFIKIYE.Mkuu wewe ni mgeni kwa hawa vilaza wa CCM??
Upo sawa tuSi hapa tunamzungumzia mwigulu au ?