Hee..!wameita..!sitaki kuamini daah!imekula kwetu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Walioomba ajira za utumishi mei 28,washaitwa kimyakimya!nchi inaelekea kuzimu hii,mi nliomba asst accountnc ndo hvyo bana
 
siku hizi huwa hatusemi nimepata kazi,bali nimepewa kazi
 
ungeitwa wewe usingesema nchi inaelekea kuzimu ila wameitwa wenzako ndo unasema ivo
Acheni mambo yenu bwana
 
kiukweli mimi mwenyewe nimepigiwa ila sio za tare 28 niza nyuma zaid bana mf mimi nimepigiwa ya planning officer 11 cbe dar. Ni wengi tunazisubiri za tare 25 na 28 tuwe macho.
 
ungeitwa wewe usingesema nchi inaelekea kuzimu ila wameitwa wenzako ndo unasema ivo
acheni mambo yenu bwana

haujamuelewa mtoa mada hapa si tatizo kuitwa ila wameitwaje??
 
Usikurupuke namna hiyo bila kutafiti, utawau watu wenye pressure. HAWAJAITWA WATU WOWOTE KWA NAFASI ZA TAR 25 WALA 28 APRIL. Umeniudhi sana maana umenisababishia hasara kubwa ya matibabu kwa kijana hapa nyumbani. Nimekusamehe bure
 
we nawe sio 25 NA 28 APRIL ILA MAY!
 
Usikurupuke namna hiyo bila kutafiti, utawau watu wenye pressure. HAWAJAITWA WATU WOWOTE KWA NAFASI ZA TAR 25 WALA 28 APRIL. Umeniudhi sana maana umenisababishia hasara kubwa ya matibabu kwa kijana hapa nyumbani. Nimekusamehe bure

naongelea za May sio za April mkuu!
Kama ndugu yako aliomba hzo za April na anajua bado mpe pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…