Heee! Jamani hodi wenyeji!!!

Enica

New Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
1
Reaction score
0
khabari za siku waungwana, nilikuwa napita lakini nikaona mahari hapa ni pazuri
patanifaa kwa elimu mbali mbali, na kujifunza kwa mengi, naomba ushirikiano wenu
 
karibu enica, karibu jamvini hapa utajifunza mengi ya maana na yasiyo ya maana kazi kwako ushindwe ww tu! karibu
 
khabari za siku waungwana, nilikuwa napita lakini nikaona mahari hapa ni pazuri
patanifaa kwa elimu mbali mbali, na kujifunza kwa mengi, naomba ushirikiano wenu

heri yako mwenzangu umekumbuka hata kubisha hodi mimi nilijiunga tangu 2006 nimeibuka mwezi huu ni speed kwa kwenda mbele ila watanisamehe bure maana sikua na jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…