..... Heeeeiiiii.... Usinitukanie Wangu tafadhali...!!

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
...nimezaa na wewe sikatai.
....cjafika kwenu sikatai.
...sijatoa mahari siikataaiikabsaaa.

Lakini kumbuka kwamba tulivyo dondoka ktk penzî....
Wote tulikua vipofu...kwa nini leo uhatarishe mahaba yetu ya awali.....
 
Mh! makubwa.................................
 
Unaweka tungo zako hadharani hivi huogopi mkuu? Shauri yako, kesho ukisikia zinarindima kwa mawimbi ya fm uanze kulalamika sivyo eeh?
 
mnh.................nini hiki????? ndo TANDALE KWA MTOGORE ama???
 
ni message umetumiwa? au ni kutupiana maneno baina ya wapenzi? hebu fafanua kidogo lol
 
Mh sijaelewa kabisa!fafanua kidogo kilichokusibu
 
...nimezaa na wewe sikatai.
....cjafika kwenu sikatai.
...sijatoa mahari siikataaiikabsaaa.

Lakini kumbuka kwamba tulivyo dondoka ktk penzî....
Wote tulikua vipofu...kwa nini leo uhatarishe mahaba yetu ya awali....
.

La muhimu usitumie kudondoka kwenye mahaba kama kisingizio cha kukwepa kubeba majukumu yako hususani mtoto anapokuwa ni mwathirika wa ksiwahili chako kisicho na mipaka..........beba mizigo yako yote miwili khalafu utuimbie hizi beti ambazo ni tamu pia kama unajua ya kuwa upofu huna tena bali ni kubeba mizigo yako uwe mwanaumme wa kwelikweli
 
dah!..hii mipasho.atakuwa amepata ujumbe mkuu. Naamini ujumbe huu ni kwa memba mwenzako. tusibiri mlengwa ajibu mapigo
 
Kuna kibinti kilikuja huku kikamsema vibaya boyfriend wake,eti ni mtegemezi kwake,kilichofuata alikuja analia eti anaomba msamaha hakuwa siliasi kivile..
Nakuomba ujilipue vizuri usitupe shida sie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…