[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Kwaiyo kaja kupooza machungu yake hapaGudume katoa uzi jana eti kaoa lakini bado haishi kukandia watu humu ndani. Yawezekana ndo yeye kaachika jana.
Nlkua mpnz mtizamaji nw nimeingia jumla jumlaMkuu kumbe ww sio mgeni au ww ndo yule Gudume alikuwa anamuongelea Jana[emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu y so serious na gudume au anakukula na wewe[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Kwaiyo kaja kupooza machungu yake hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unateseka mkuu?[emoji12]Mkuu y so serious na gudume au anakukula na wewe
Kabla hujajibu nenda kwenye ID ya mtu angalia umri siyo uongee hovyo ndo maana nimekuuliza shule hazijafunguliwa? Ungeingia chit chat hakuna ambaye angekuuliza haya ila umekuja straight kwenye Great Thinkers.Uyo gudume anakukula wewe mbona mna shoboka ivooo
We mzee unikome naona unawashwa sana ili ni jukwaa LA utambulisho....mind ur fucken business ...kama we ni mtu mzma na mm ni mtu mzima mwwnzio na wewe nenda kwenye id yangu uone nna umri gan ...mxeeeeewKabla hujajibu nenda kwenye ID ya mtu angalia umri siyo uongee hovyo ndo maana nimekuuliza shule hazijafunguliwa? Ungeingia chit chat hakuna ambaye angekuuliza haya ila umekuja straight kwenye Great Thinkers.
We mzee unikome naona unawashwa sana ili ni jukwaa LA utambulisho....mind ur fucken business ...kama we ni mtu mzma na mm ni mtu mzima mwwnzio na wewe nenda kwenye id yangu uone nna umri gan ...mxeeeeew