Heh! NMB,tawi la ifakara hawana pesa. Siku ya tatu leo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Wana JF,cc wafanyabiasha hapa kilombero,hususani mjini ifakara tuna cku ya tatu sasa kila tukienda bank kutoa pesa tunaambiwa pesa hamna. Sababu walizotoa wafanyakazi wa bank hiyo ni kwamba,watu hawadeposite bali wanadraw tu. Meneja wa tawi alituhakikishia kuwa pesa zitafika leo hii.mpaka muda wa saa 10 jioni gari haikuwa imefika. Nahata kama litafika jioni hii kesho ni 77 hamna kazi..juzi,jana na leo tuliruhusiwa kuchukua Tshs 1000000/=tu. Hii imekaaje wandugu? NB-siku mbili zilizopita kulikuwa hamna mafuta ya petrol!
 
Nendeni Kilombero ama Mahenge!
 
Pole sana ndugu tatizo benki zetu zimekaa kisanii sana kuliko kikazi, uwezi kuona kitu kama hiki benki za wenzetu mfano Stanbic Bank
 
Hao wenzetu Stanbic hawawezi kamwe kufungua tawi Ifakara au Mahenge
 
hamna sheria inayomlinda mteja wa benki pindi anapohitaji pesa zake?mimi huwa naona hakuna faida ya kuweka pesa bank hapa tanzania!u dont get your money, when u need them!
 
Mkuu, kuifadhi pesa ndani Security hamna bora bank pamoja na usumbufu wote utakaopata
 
hamna sheria inayomlinda mteja wa benki pindi anapohitaji pesa zake?mimi huwa naona hakuna faida ya kuweka pesa bank hapa tanzania!u dont get your money, when u need them!

Ifakara wanayo benki moja tu ya NMB
 
Pole sana ndugu tatizo benki zetu zimekaa kisanii sana kuliko kikazi, uwezi kuona kitu kama hiki benki za wenzetu mfano Stanbic Bank

Hawa Stanbic nao linapokuja suala la ATM ni zero. ATM wanazo chache sana na Kila siku ATM hazina hela ama mbovu.
 
Hamia CRDB hapo simba OIL si kuna Mobile ATM???????yaan una fursa hutaki kuitimia,wewe wa wapi?
 
Hawa Stanbic nao linapokuja suala la ATM ni zero. ATM wanazo chache sana na Kila siku ATM hazina hela ama mbovu.
Mkuu, swala ATM kwa bank za Tanzania zote ATM zao ni za mitumba, kweli Stanbic ATM wanazo chache sana ata pale Mlimani City hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…