Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wanatumia kiswahil huon hapo imeandikwa kiswahilWapo imeandikwa ni mbongo.
Kiswahili kinazungumzwa Afrika mashariki nzima na sasa ivi nchi nyingi zilizo nje ya jumuiya ya Afrika mashariki zinatumia kiswahiliWabongo wanatumia kiswahil huon hapo imeandikwa kiswahil
We jamaa mmbea sana wewe hapo kwenye picha sehemu gani kuna Tsh?Hehehe!! Tsh inatumika nchi gani.
kanisani kwetu arusha watu wanatoa sadaka kshs hadi usd...unasemaje hapo kwa hoja hiyo???Hehehe!! Tsh inatumika nchi gani.
kanisani kwetu arusha watu wanatoa sadaka kshs hadi usd...unasemaje hapo kwa hoja hiyo???
Haya tumalize ugomvi, basi tuseme ni Mkenya, ila sasa yaani nilipie tendo la ndoa 20,000 Kshs hizo ni 400,000 Tshs kwa hela za Bongo......hehehehe! Muache utani bana. Hayo mambo ya kuagiza risiti hata ukinunua pipi naona yanaenda kubaya.
huyo bi ashura ni mkenya wa mombasa,bw abdula wa ni tanga,kaja mombasa na chenji zake toka tanganyika kafanyiwa biashara na bi ashura,na hyo ndio risiti!wameimarisha uhusiano wa afrika mashariki!cheers
Nibiru.Hehehe!! Tsh inatumika nchi gani.
20,000/= TSHSWapo imeandikwa ni mbongo.